Idara ya forodha ya nchini Thailanda imekamata meno ya Tembo 247 yenye thamani ya $ 3,300,000 na uzito wa tani 2 za samaki kama danganya toto ili watu wajue ni samani.Zigo hili la meno ya tembo limekamatwa likitokea nchini Kenya.