Kanali Idd Kipingu ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la michezo Tanzania wa pili kushoto akimkabidhi nahodha wa timu ya Taifa chini ya miaka 23 Shaabani Kado bendera ya Taifa kwenda kutuwakilisha katika mashindano ya vijana chini ya miaka 23 nchini Uganda.Kushoto mwenye fulana ya NMB ni kocha wa timu hiyo Jamuhuri Kiwelu.