Mbeligiji Nick Nuyens ashinda mbio za baiskeli za kilometa 256 kwa kutumia muda wa masaa 6 na sekunde 42 na kuwashinda wapinzani wake wa siku za nyuma.Akishangilia kama umuonavyo pichani aliweza kumuacha mshindi wa mwaka jana toka Ufaransa Sylvain Chavanel na mkali wa mashindano hayo Fabian Cancellara kushoto yeye akipenya kati yao na kuwa namba moja.
0 Comments