Waaaww...Messi akishangilia nae ushindi wao baada ya kubamiza Shakhtar kwa ka'goli 1-0. Pichani chini wachezaji waManchester United wakipongezana baada ya kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford kwa kufundisha Chelsea goli 2-1.hao chini ni Giggs na Chicharito.
| Man. United | Chelsea | ||||||
| Shakhtar Donetsk | Barcelona |



0 Comments