Jumamosi ya leo Vijana wa Twanga na kupepeta watakuwepo Mango Garden katika ile kuwasugulisha visigino warembo na washiriki wa shindano la Kimwana wa Twanga pepeta.Mratibu wa shughuli nzima Maimatha wa Jesse anasema mambo yote yapo sawasawa kazi kwenu mashabiki.
0 Comments