Wingi wa ghafla la ongezeko la watu nchini Belgium limeishtua serikali nchini humo.watu wameongezeka kwa kasi na kufikia kiasi cha milioni 11 kitu ambacho walikitegemea kiwe mwakani na sio mwaka huu.Ongezeko hili limeifanya serikali ya Belgium kutunga sheria mpya za kuanza kuwarudisha watu makwao.