An Englishman came to Tanzania and tried to learn Kiswahili...when he was about to return to his homeland, he was asked how much he had learnt. All he knew was.....
Hakuna umeme
Umeme imerudi
Umeme itaondoka
Umeme bado
Kwa nini haijarudi?
Umeme imerudi na imeondoka
Umeme itarudi saa ngapi?
Hivi kweli hii jamani au kutunga?Haya wanyonge tunyamaze kwani ukweli ni 95% na kutunga ni hizo asilimia zilizobaki? kama ujioneavyo pichani.Picha ya juu inaonesha kunakowaka umeme ni sehemu zileee wanazoishi kina................