Goli la kwanza kwa Fc Barcelona ni mkwaju mkali ambao golikipa wa Manchester United Edwin Van de Sah alishindwa kabisa hata kuugusa,huku beki wake Patrick Evra akishuhudia kwa kwa shingo upande.
 Waawwoo....!!!Ooooohh,Yeaahh......... Waaawooooh OOOOoooopssss!!!!!Kitu hichoooooooo!!!!!!La Pili hiloooooo!!!
OOyaa!!! OOooyaaa!!! OOOyaaaa....Barcelona OOOyaaa OOOoooyaaa,Manchester Vibonde wetu Ooooyaa!!!!
OOoooooLeeeee  OOoooole OOoooleeeeeee Oleeeeeeeeeeeeee OOOooleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Tenaaa,Tenaaaaa Tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Tenaaaaaaa,Safiiiiiiiiii Ahsanteni vijana wangu.Mpaka mwisho wa mchezo FC BARCELONA 3 MANCHESTER UNITED 1,Maganga One Blog Inawapongeza sana vijana wa Fc Barcelona  kwa kutwaa ubingwa wa UEFA.Japo mimi ni mpenzi wa Manchester United ila kwa jana hatuna cha kuongeza zaidi ya kuwapongeza wapinzani wetu kwa kutupa aibu ya mwaka"Well done Barca".