Raisi wa zamani nchini Ivory Coast bwana Laurent Gbagbo ametangazia umma wake na wale wote waliokuwa wakimsapoti kuwa waache mapigano na kusisitiza kuwa hali ya nchi yao inayumba kiuchumi kutokana na mapigano hayo.Bwana Gbagbo aliyekamatwa hivi karibuni kutokana na kusababisha kukosekana kwa Amani nchini humo baada ya kujiapisha madarakani bila ya ridhaa ya wananchi wake.
Hali bado ni tete kwa nchi hiyo kwani bado mapigano yanaendelea japo bwana Gbagbo bado yupo kizuizini.
0 Comments