Piga nikupige zikiendelea kwa mabondia wawili wa nchi tofauti,kushoto ni bondia Gabriel Ochueng toka Kenya na kulia ni bondia Mbwana Matumla wa Tanzania .
Wakati wa mapumziko,mwenye fulana nyekundu na kofia ni bondia bingwa wa zamani na ni kaka mkubwa wa Mbwana Matumla,Rashid Matumla akimpa maelekezo mdogo wake naona ya kumshinda mkenya huyo. Mwisho wa pambano Mbwana Matumla aliibuka mshindi na kukabidhiwa mkanda wake wa UBO.(picha toka Amani Masue).
0 Comments