Mimi ni shabiki wa Yanga ila Simba inapocheza nje ya nchi huwa naishabikia sana tu,tuangalia hapa watani wangu wa jadi jinsi walivyokubali goli 3 ugenini.Ila goli la pili nahisi tulionewa,macho yangu yanaona ilikuwa Offside sijui kwa upande wako,haya Tujage uwanjani.