MWEZI JUNE MWAKA HUU,DEN HAAG HAPATOSHII.
MSANII ANAYETAMBA HIVI SASA KWENYE BONGO FLAVA KIJANA DIAMOND,TAREHE 12/06/2011 ATAFANYA SHOW YA MWAKA PALE ATAKAPOLITIMBA JUKWAAA LIVE NDANI YA MJI WA DEN HAAG NCHINI HOLLAND.
Ili kila mmoja apate kuingia ukumbini kiingilio ni rahisi kupita nafuu,Waamndaji wa show wameweka kiingilio cha Euro 20 tu.Watanzania na waafrika wote toka Holland,Belgium,France na England msikose show hii ya kipekee ambayo haijawahi kutokea.Jinsi ya kufanya booking ya ticket yako unaweza kuwasiliana na watu hawa kwa namba zao za mkononi, 0031 681812 221 Ndugu Khatibu au kwa namba 0031 1684 031 217 Ndugu Kitanda.Na jinsi ya kufika ukumbini anuni ipo kwenye picha pembeni kulia kwa chini.Ukipata taarifa hii usimfiche mwenzako mkaburudike pamoja.