Aliyekuwa Miss Aniverse 2010,Hellen Dausen akimvisha Taji Miss mpya taji hilo Nelly Kamwera na kuwa miss Aniverse 20011-2012,Kama mnavyomuona Nelly akitabasamu kwa furaha sana na kiukweli kapendeza.
Kila mshiriki akipita mbele ya jopo la majaji ili aonekane na kupatiwa maksi zake,kadharika hata mashabiki waone nani kweli anastahili kulivaa taji hilo.
Bidada Mwamvita Makamba kama jaji akitupa swali kwa mmoja wa washiriki la shindano la lumtafuta Miss Universe.
Hapo ni wale Top 5 ambao walifanikiwa kupita kwenye raundi ya mwisho.
Miss UNIVERSE katikati akiwa na mshindi wa pili kushoto na wa tatu kulia,wakipata picha ya pamoja.
Washindi na baadhi ya washiriki wakipata picha ya pamoja na wadhamini wa mashindano hayo.
Na majaji nao hawakubaki nyuma kupata kumbukumbu pamoja na washindi hao.
0 Comments