Mcheza filamu hodari za kiafrika Ramsey mwenye shati la pinki toka Nigeria,akitoa maelekezo fulani jinsi ya kuchukua video na kuboresha zaidi picha ,hapo ni kwenye filamu mpya wanayocheza hivi sasa na Steven Kanumba jijini Dar es Salaam.
Msanii wetu Steven Kanumba akiwa kazini kwenye movie mpya itakayotoka hivi karibuni,ebu ona watu wanapokuwa kazini wanakuwaje....!!!
0 Comments