Wahenga walilonga kwamba "za mwizi ni Arobaini"jamaa kaiba akakamatwa,kilichofuata ni mafuta ya taa kuni na kiberiti,yani huyu jamaa hukumu ya moto anaipata hapahapa duniani kabla hajaenda kwenye haki.
Msije mkasema nashabikia au laa,mie kama kawaida yangu na kamsemo ka wenzangu "Mambo ya Ngoswe...."