Rais Jakaya Kikwete (wa nne kulia), Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia kwake) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kushoto kwake) wakiwa kwenye picha ya pamoja na manaibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Walipiga picha hiyo baada ya Rais kuwaapisha watendaji hao wa wizara Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili akida).
0 Comments