Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mambo ya Uchumi, Dk. Abdallah Kigoda baada ya kufunga mkutano wa bajeti za Afrika Mashariki kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, John Cheyo, na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh. (Picha na Robert Okanda)
0 Comments