Rais Jakaya Kikwete akimuaga Waziri Mkuu wa India, Dk. Manmohan Singh (kulia), kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Dk. Singh amerudi nchi kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili nchini Tanzania. (Picha na Fadhili Akida).
0 Comments