Kiongozi wangu ambaye nakuamini na kukuchagua kwa mapenzi yangu yote nikitarajia mabadiliko ndani ya uongozi wako,kumbe hali uendelea kuwa ngumu zaidi na zaidi pindi ninapofanya kosa la kukuchagua wewe.Ukiiangalia hii picha hao wakazi hapo mbele sio kama wanapenda jinsi wanavyoishi,ila hali ngumu ya maisha uchangiwa kwa kiasi kikubwa sana na uongozi mbaya wa viongozi wetu.Enyi viongozi wetu jitahidini kutusaidia watu wenye maisha magumu kwa kutafuta njia mbadala za kutuweka katika unafuu wa maisha.
0 Comments