Duh! Leo huko China maajabu. Mapacha wamezaliwa kiajabu. Ingawa kuna vichwa viwili wana mwili mmoja! Sijui itakuaje wakiwa wakubwa!(MUNGU ANAJUA ZAIDI) Mapacha hao ni wa kike. Madakatari wanasema kuwa hawataweza kuwatengenisha. Wangezaliwa Afrika watu wangesema mengi. Mungu awabariki waishi maisha bora na salama.(habari kamili unaweza kugonga link ya dada chemi wa swahili time).