Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua mkutano kati ya Serikali na wawakilishi wa nchi wahisani ambazo zimekubali kuisaidia Tanzania kwenye bajeti yake ijayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).