Gari dogo likiwa limeingia katika mtaro baada ya kumshinda dereva katika barabara ya Kilwa eneo la Mtoni Mwembemadafu jijini Dar es Salaam. (Picha na Yusuf Badi).