Bei ya Baiskeli hapo pichani ni euro1650,na unapewa nguo zake bure,na hii ni Summer special offer kama walivyoandika kwa lugha ya kijijini kwangu.nikipiga mahesabu ya harakaharaka napata ni Tshs 3'3OO'OOO.wapenda Bike mpo?