Inapoanza huwa kama hivi,na ndani ya dakika 2 tu  hakuna foleni tena.
Kama ukiangalia vizuri kuna mwanamke amesimama na baiskeli kwenye mataa pichani juu na pichani chini,yani hiyo ni dakika moja tu unaweza kuona hakuna tena foleni.