Hii ni Cake ya Birthday ya bwana Farhan,cake iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kwa mchanganyiko wa matunda mbalimbali ili kuleta ladha iliyo bora.ni keki tamu sana kwani ukiionja utarudia tena na tena.
 Mama mzazi wa Farhan akimpeleka mtoto wake mezani ili akawashe mshumaa na kukata keki.
Zoezi la kuwasha mshumaa likichukua nafasi huku mama mzazi akihakikisha kuwa mwanawe anawasha mshumaa mwenyewe.Ama hakika Farhan sasa ni Big Boy.
"Wazazi wangu tulieni niwaonyeshe jinsi keki inavyokatwa" hayo ni maneno ya Big Boy Farhan King Fahad alipokuwa akiyasema pindi alipokuwa akikata keki.
Bidada Sharoon kushoto hakucheza mbali kwenye kuhakikisha Farhan King Fahad anapuliza mshumaa mwenyewe.
 Salut toka kwa bidada Sharoon ni ishara tosha kuonyesha Birthday ya Farhan King Fahad ilipewa heshima ya aina yake.
"Sawa mwanangu umekuwa ila kukusaidia ni wajibu wangu"hayo ni maneno ya mama mzazi wa Big Boy Farhan King Fahad.
 "Mwanangu keki inakatwa hiviii...."sawasawa?
 Haya mwanangu kulaaa eeeh...!!!
 Mtoto jinsi anavyompenda mama yake analia kwanini na yeye hajamlisha keki....
 Karne yetu hakuna mtoto hasiye na baba,baba mzazi wa Farhan King Fahad akimlisha keki mtoto wake kuonyesha mapenzi ya dhati.
Bwana Farhan anasema" hawa ndio wazazi wangu jamani"..Pichani wazazi wa Farhan wakiwa pamoja na mtoto wao wakipata Flash kama kumbukumbu nzuri ya mwaka mmoja wa mtoto wao.