Maganga One mwenye fulana ya njano na Jembe mkononi alikuwepo katika kunasa picha mbili tatu za Dogo Diamond.Hapa akipata Flash na waafrika mbalimbali toka mataifa mbalimbali kwenye show ya Diamond nchini Holland.
Maganga One kushoto,Diamond na fundi mitambo aliyehakikisha mziki na kila kitu ukumbini kinakweda sawa ili wapenzi wausikie mziki kiukweli,namzungumzia Operator System from Belgium Mega,ni mkali wa fani hii kwani watu woote ukumbini waliburudika kiukweli.
Kama kawaida huwa sijivungi niwaonapo dada zangu kupata nao Flash ili kuweka kurasa sawasawa,hiyo ni BIBOZE family ndani ya Holland,nao walikuwepo kwenye show.dada zangu walipendaza sana ukumbini.
Mwenye macho na masikio aliyatumia vyema kwa Diamond ukumbini hapo,kwa kweli show ilipendeza sana na kila mmoja alifurahia show.
Walioshindwa kujizuia walipanda jukwaani na kumuunga mkono kijana Diamond kulitimba jukwaa vilivyo.Show ya Diamond ilibamba na wakazi wote walikubali.
Ni mbagalaaaaaa,hapa nje mbele jalalaaaaaaaaaaaaaaaaa,tatizo kwetu mbagalaaaa.......
| Duuh na mie kwa pichaaa...!!!!!!!! kila sehemu nipoo???? |
| Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa Idara zote,kaka Aziz,katikati ni Dj Khatib na kulia ni Uncle Tareeq,wanastahili sifa kwani waliwajibika vilivyo ukumbini . |
Kwa kila aliyeingia ukumbia alipata kinywaji na nyama choma,hapo ukiikaribia meza tu unakutana na matabasamu ya nguvu ya dada zangu kina Ramla,shemeji yangu Shamsa na uncle Azad,kwa kweli waliimudu vilivyo sehemu ya maakuli na vinywaji.
Mwenye gauni nyeusi na nyekundu ni Mc maarufu Den Haag kwa shughuli za harusi,kitchen party n.k,namzunguzia dada Seki na kulia na shemeji yangu Mya au mama Tareeq,kila sifa nzuri apatiwe,kwani kila idara aliipeleka vile ilivyotakiwa.
Kama mnavyoniona hapo nipo mnyoonge,huwa sifurukuti nikiwa na kaka zangu hawa.kushoto mwenye shati la drafti ni brother Hasheem Kamanda wa kikosi kizima cha Den Haag na kulia ni kaka Omary ambaye tuko mkoa mmoja kwa mfalme Albert II,unapajua wapi?.......................
3 Comments