Kwa wenzetu wanaojiita weupe hali ya hewa ya jua huwa inawapa tabu sana ikifikia jua kuwa kali kupitiliza.Ngozi zao hazina huimara wa kustahilimi jua kali sana hivyo hutumia mafuta maalumu ya ngozi zao kama uwaonavyo pichani.hapo ni Washington Dc jana.