Kikosi maalumu cha jeshi upande wa uokoaji wakijitahidi kadri wawezavyo kuokoa watu walioangukiwa na ghorofa katika ujenzi.Inasemekana mpaka sasa bado idadi kamili ya watu waliokufa kutambulika,ila hakuna aliyeokolewa kutokana na kuangukiwa na jengo hilo ambalo lilikuwa bado linaendelea kujengwa.
0 Comments