Wasanii wa Marekani kuna nyakati hupendelea kuvalia mavazi yenye heshima mbele za watu.sio siku zote kwamba watavalia mavazi ambayo yanafanana sana na ujana uliokithiri,ila kuna siku huvalia mavazi ambayo kila mmoja hupenda kuwaona hivyo.pichani kushoto ni msaniii 50 Cent,Eminem na Dr,Dre wakiwa wametulia kupata Flash.
0 Comments