Binti Maganga One kushoto kabisaa mwenye kashati kiupe akiaangalia mambo yanayojiri mtaani kwetu leo hii,leo tunasikukuu za kawaida hapa kijijini kwetu hivyo basi huwa tunajumuika na kucheza ngoma na mambo mbalimbali ya kujifurahisha. hapo kushangaa ruksaa.

0 Comments