Maganga One siku zote nikiitwa huwa sikatai wito ila ninachoitiwa nakijua??jibu litakuja nikifika huko Holland,maana ni safari ya ghafla na mimi sijachukua hata dakika 30 nimeshafungasha naelekea huko,haya jamani nitawajulisha ya huko nikifika.
Vimkoba vyangu ni hivi tu maana safari ni hatua.ila nipo full kamili.baadae jamani.