WAKATI WEWE NA FAMILIA YAKO MNAMWAGAMWAGA MAJI NYUMBANI HOVYO NA KUKATAA KUNYWA MAJI YASIYOCHEMSHWA,ANGALIA PICHA HII UONE JINSI WATU WANVYOHAHA KUTAFUTA MAJI YA KUNYWA.
WATOTO WAKO WAMESHIBA NA KUMWAGA CHAKULA,HAWA HATA DALILI YA CHAKULA HAWANA.
MUANGALIE NA HUYU JINSI ANAVYOIPA AKILI WAKATI MGUMU.
Mkeo anadai NIDO au NESTLE angalia huyu mtoto ananyweshwa nini.... ???
Watoto wako wanalala kwenye kitanda cha futi sita kwa sita kwa kila mmoja anaglia hawa watoto.
Ukiwa umezungushia FENCE yenye nyaya za umeme na GARDEN nzuri ya maua kwako,je unafikiria kama kuna hali kama hii kwa wenzako?
Unalala bonge la jumba na nje ukiwa na walinzi,je kuna hata dakika unafikiri kuna watu wanaishi kama hivi?
0 Comments