Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Daudi Damasi akimfafanulia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (mwenye miwani) mfumo wa uti wa mgongo alipotembelea kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. (Picha na Robert Okanda).