Wanafunzi kutoka shule za Dar es Salaam wakipita mbele ya Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (hayupo pichani) wakiwa na mabango yenye ujumbe kuhusu kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya kupiga vita biashara na matumizi ya dawa hizo yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga wilayani Temeke. (Picha na Muhidin Sufiani).