Kalahari water park ni sehemu nzuri na ya kuvutia kwa rika zote,ndugu Hamisi upendelea sehemu hii kila apatapo likizo.
Jina Zanzibar limekuwa ni kivutio kila pembe ya dunia,hapa ni Kalahari na sio Zanzibar kama panavyosomeka,ila kwa kuwa unapoona jina lenu linatangazwa huna budi kuliunga mkono kwa vitendo.pichani bwana Hamisi(USA) akiwapa haki watoto,je wajua mzazi ndiye mwenye wajibu wa kumpa haki muhimu mtoto?je wako anapata haki zake?
Wazungu hupendelea sana neno 'LIKE FATHER,LIKE SON'huwa lina maana nzuri kwa wajuzi.
Kila taifa utalikuta hapo Kalahari Water Park,jaribu na kupatembelea utakubaliana na maneno ya bwana Hamisi.




1 Comments