Kumetokea na milipuko miwili midogo katika maduka ya Kiswidish(Ikea) yanayouza bidhaa za ndani nchini Belgium.Milipuko hiyo ambayo imejeruhi wafanyakazi wawili haijafahamika nini lengo hasa la milipuko hiyo.Pichani askali wa Kibelgiji wakiwa wanajaribu kusaka vyanzo hivyo kwa kutumia mbwa maalumu kwa shughuli hizo.Picha hii imepigwa katika duka moja kati ya mawili kwenye mji wa Ghent nchini Belgium.