Miss Dar Inter College 2011,Rose Msuya akiwa katika pozz mara baara ya kunyakua taji hilo usiku wa jana katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Warembo wa Dar Inter College waliomaliza muda wao pia walikuwa bega kwa bega na kamati nzima ya maandalizi ya mashindano hayo usiku huu ndani ya club Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Miss Dar Inter College,Rose Msuya akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Bressiny Ngowi (shoto) na Mshindi wa watatu,Glory Peter.
Tano bora jukwaani hapooo.......
Majaji wakiwa makini kabisa kugagua kila mshiriki ili waweze kutoa maksi sawasawa.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Dully Sykes akifanya mambo yake usiku wa jana.
Mashabiki toka kila pembe ya Tanzania walikuwepo kushuhudia nani anavishwa taji hilo.
Sio wote wanaopenda kukaa,kuna wengine hupendelea kusimama na kushangilia pichani mashabiki wakiwa makini kuwasapoti washiriki wao kwa kuwashangilia pindi wanapopita jukwaani.(picha zote toka Michuzi).
0 Comments