"MIMI NANG'ATUKA LAKINI NAENDELEA KUAMINI KUWA BILA CCM MADHUBUTI NCHI YETU ITAYUMBA"haya maneno aliyasema hayati MWALIMU NYERERE wakati anajing'atua kwenye Urais.Sijui kama yana ukweli ndani yake?