Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Bongo Fleva' Diamond amerejea jijini Dar hivi majuzi usiku.Pichani akiwa na mupenzi wake Wema Sepetu na mchekeshaji wa kundi la Original Komedy Masanja Mkandamizaji katika uwanja wa ndege wa Dar es salaam.
Rais wa wa wasafi akipokea BUSU toka kwa mupenzi wake Wema Sepetu kama ishara ya upendo uwanjani hapo.
Moja ya kumbukumbu pindi aliporejea toka Ughaibuni,namzungumzia kijana Diamond msanii ambaye anatamba hivi sasa.(picha na Masanja mkandamizaji)