Ni hapo Steven Kanumba anapokutana na Joti katika Sebeni,yani huwa hapatoshi.hii ni katika tafrija ya harusi waliyohudhuria hivi karibuni.