Muda wa kazi yeye yupo bize na kusoma magazeti na kunywa chai.
Muda wa kazi yeye yupo bize kuongea na familia yake habari za nyumbani na matatizo ya nje ya kazi.
Muda wa kazi yeye anapanga mikakati ya harusi yake kiasi kwamba haruhusu kazi za ofisini zimsumbue.
OOoooopsss hivi mnajua kuna watu wa kabila hii ofisini?Haya Serikali yangu naomba mchukue hatua kwa watu kama hawa wanaolipwa fedha nyingi kwa muda mchache wanaofanya kazi maofisini.