Ukiona mtoto mmoja ana tabia mbaya na anaweza kabisa kumshawishi na mwanao usisite kumpiga marufuku kuja nyumbani kwako,kufuatana na mwanao na hata kucheza na mwanao.kwani kwa kutokufanya hivyo utakuta na mwanao anajitumbukiza katika makundi kama haya.
Ebu angalia na hapa jinsi huyu mtoto anavyofanya ni hatari juu ya hatari.