Kundi la B six la Zanzibar likiwafurahisha wageni waliohudhuria kwenye tamasha hilo.kila mmoja alifurahia tamasha hilo mjini Zanzibar.
Mrisho Mpoto kushoto akiwajibika vilivyo na Oliver Mtukudzi toka Zimbabwe katika tamasha la filamu Zanzibar.
Tamasha la filamu Zanzibar lafana,kila mmoja aliyebahatika kufika alifika.pichani mashabiki toka kila pembe ndani na nje ya nchi walihudhuria.
0 Comments