Timu ya soka ya Tanzania under 23 leo imeshindwa kutamba ugenini baada ya kukubali kipigo cha goli 3-0 na timu ya Taifa ya vijana ya Nigeria.sina cha kuongeza kwani inauma jamani.