Pichani vijana wa Kiume wakiwa wamekaa kwenye Mobile kliniki  wilayani  Kayunga nchini Uganda wakisubiri mmoja mmoja kufanyiwa TOHARA.Inasemekana hivi sasa hali ya kudhibiti maambukizi ya maradhi yamepungua kufikia asilimia 60 kulingana na siku za nyumba nchini humo.Wengi wao wameelimika na kufuata utaratibu unaostahili.