Tarehe 12 mwezi huu wa 6 jijini DEN HAAG nchini Holland kuna show kabambe ya mwanamuziki wa kizazi kipya DIAMOND,show hiyo ambayo inatarajiwa kuwa show ya kwanza kwa kiwango cha juu unaombwa kutokukosa kuja kushuhudia vipaji vya ma DJ'S watatu ambao wanamfanya DIAMOND kutokushuka jukwaani mpaka asubuhi.Njooo ushuhudie vipaji vya kucheza na pini juu ya meza toka kwa DJ's hao,mbali ya hapo fundi mitambo ambaye ataongoza jahazi zima la system ya music na sauti ukumbini hapo ni mtaalam MEGA toka BELGIUM,njoo uone jinsi anavyofunga mziki,njoo uone anavyorekebisha sauti na mengine mengi ambayo hujawai kuona.Tarehe 12,Mji ni DEN HAAG,anuani kamili ipo juu kabisaa ya ukurasa huu kwenye tangazo la DIAMOND.kiingilio ni sawa na bure,usikose kuja na mshirika wako kwenye show.
Ahsanteni.
0 Comments