Takriban watumishi wa serikali elfu 40 wamenufaika na mpango huo.
Serikali ya Malawi inawashtumu watumishi wa serikali nchini humo kwa kueneza zaidi virusi vya HIV na UKIMWI Kwa kutumia fedha hizo kujihusisha na vitendo vinavyohatarisha maisha
Kuanzia sasa kila mwezi watapokea posho ya chakula cha lishe bora badala ya kupokea fedha za ziada.
Afisa moja asema mpango huo umetumiliwa vibaya zaidi na watumishi wa serikali wanaojidai kua nao pia wamambukizwa na virusi vya HIV ili wajipatie fedha zaidi..Takriban asilimia 15 ya wakaazi wa Malawi wana virusi vya HIV,na idadi kubwa ya vifo kutokana na ugonjwa huo umepunguza kiwango cha maisha kufikia umri wa wastani wa miaka 36 tu
.
0 Comments