Mkataa kwao ni mtumwa na kuacha mila za kwenu haipendezi.Hili ni kabila la Wakurya ambalo nchini Tanzania linapatikana sana Mara sehemu za Tarime.Pichani kina mama wakiwa wamevalia mavazi yao ya asili na kunywa maji au maziwa yaliyomo kwenye vibuyu.