IMAMU WA MSIKITI alipitisha mchango wa kuchangia Ujenzi wa Msikiti. Waumini/Waislam wakatoa Tshs 350,000/=tu. Ghafla Majambazi wakauteka Msikiti na kuamrisha kila Mtu atoe alichonacho mfukoni! Wakakusanya Tshs Milioni 8,  Laki 2 na Senti 40 na Kumkabidhi IMAMU ili aendeleze Ujenzi wa Msikiti. Je Majambazi wana dhambi au Waumini? Fafanua kwa elimu yako  juu ya tukio hili.Maoni na mtazamo wako ruksa....!!!