Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwadhibiti Wanafunzi wa Kitivo cha Sanaa na Lugha cha Chuo Kikuu Dodoma (Udom), baada ya kufanya maandamano ya kwa lengo la kudai posho ya mafunzo kwa vitendo, mjini Dodoma jana.
Wanafunzi wa Mbezi sekondari wakiweka vizuizi barabarani kuzuia magari,baada ya mwanafunzi mwenzao kugongwa na gari jana.Wanafunzi hao wamekuwa wakiilalamikia serikali juu ya kuweka matuta barabarani hapo ili kudhibiti mwendo kasi wa magari yapitayo shuleni hapo.(Picha zote kutoka gazeti la Nipashe).


0 Comments